Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

790c3b4150c045f9acc599428904cfe9.jpg
 
Hata Ziwa Victoria aisee. Kuna watu walinunua viwanja vya bei mbaya karibu kabisa na ziwa wakashusha mahekalu ya kueleweka mweh! Sasa hivi mahekalu yamo majini wameshayakimbia. Yaani ni total loss. Nilikuta kuna Mkanada fulani yeye kajenga juu ya paa lake huko juu anakwenda na kutoka kwa speed boat.

Ajabu sana! Ukiwauliza wazee wanasema eti ziwa linapumua. Na mwaka huu hali ndiyo imezidi kuwa mbaya. Sijui ndiyo mabadiliko ya tabia nchi ama nini sielewi aisee....
Kwenye ufukwe wa ziwa Tanganyika nimeona makazi kadhaa ya watu yamezamishwa.
Ile Bandari mpya ya ujiji wakati wa ujenzi nilikuta wameinua tuta kubwa lakini ndiyo hivyo imezama.
Kuna mtaa unatoka Mwanga kuelekea uwanja wa ndege wa Kigoma unapitia kata ya Katubuka na wenyewe umezama kama inavyozama barabara ya jangwani.
Hapo kuna nyumba kadhaa zipo kwenye dimbwi la maji.
Kwa kweli Dar es salaam inavuma sana kwa kuvamiwa na maji lakini wanaoishi kando ya Ziwa Victoria na Tanganyika wapo hatarini pia.
 
Back
Top Bottom