Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Hata Ziwa Victoria aisee. Kuna watu walinunua viwanja vya bei mbaya karibu kabisa na ziwa wakashusha mahekalu ya kueleweka mweh! Sasa hivi mahekalu yamo majini wameshayakimbia. Yaani ni total loss. Nilikuta kuna Mkanada fulani yeye kajenga juu ya paa lake huko juu anakwenda na kutoka kwa speed boat.Kigoma kuna changamoto.
Ziwa Tanganyika linafuata makazi ya watu kwa kasi
Ajabu sana! Ukiwauliza wazee wanasema eti ziwa linapumua. Na mwaka huu hali ndiyo imezidi kuwa mbaya. Sijui ndiyo mabadiliko ya tabia nchi ama nini sielewi aisee....
Wanaume tumeumbwa matesoooo matesoooo kuhangaikaaa 🎵
