ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,425
- 70,875
Kuna ujumbe nilikua nasoma ila umeyeyuka na huo ujuzi ninautaka🥸
Kuna ujumbe nilikua nasoma ila umeyeyuka na huo ujuzi ninautaka🥸
Walimu hawazeekagi, siri ni nini?
Mazoezi! Kusimama kuongea muda mrefuWalimu hawazeekagi, siri ni nini?
Kuongea kunachangia ?Mazoezi! Kusimama kuongea muda mrefu
Ulishawahi ona mwalimu legelege? Muda mrefu umesimama darasani na kufukuzana na madogo full kupayuka na kuamka mapema. Wengi wakistaafu wanachoka mapema sana labda kama akiendelea na shughuli za kilimo/ufugajiWalimu hawazeekagi, siri ni nini?
NdioKuongea kunachangia ?
Waume za watu wapo tayari kunaswa na mitego ya mabinti.
Kujiendekeza tu! 🚮Waume za watu wapo tayari kunaswa na mitego ya mabinti.
"Kuzaliwa mwanaume ni mteso kuhangaika "---Moshi William
Wakenya wamemkalia kooni
Wewe unaweza kuchomoka na mtego kama huo ati kisa una mke na watoto nyumbani?
Kujiendekeza tu!Wewe unaweza kuchomoka na mtego kama huo ati kisa una mke na watoto nyumbani?
Mateso yanatutesa bro
Kigoma kuna changamoto.View attachment 3041689View attachment 3041690
Tumeenda kukopa zaidi ili kuendeleza ujenzi 👏👏👏
View attachment 3041691
Kwakweli msituendekeze na mitego yenu😎😎mtatunasaKujiendekeza tu!
Ndio watu wajitafakari kwanini Daudi alizini na mke wa mtu, haya madude hayanaga fomula...