Naam huyu ni mimi
Huwa hatuchelewi kutoa ahadi zisizotekelezeka, mi sa hivi nadaiwa Range Rover 3 na nyumba..
Utamu kunogaπHuwa hatuchelewi kutoa ahadi zisizotekelezeka, mi sa hivi nadaiwa Range Rover 3 na nyumba.... Sijui wenzangu huko
Hiko kipindi kichwa cha chini ndio kinatoa maamuzi..πUtamu kunogaπ
Hajazoea nini ati?Hakajazoea ππππ
View attachment 3037433
Umesema sahihi Mjukuu, Kijana akisema atuige Wazee kutoa zawadi za Ukubwa huo atajikuta hadi anafikisha miaka 60 anakuwa hajanunua hata Kiwanja cha 30x30 cha kuwaachia urithi watoto wake ππ
Wazee muheshimiweUmesema sahihi Mjukuu, Kijana akisema atuige Wazee kutoa zawadi za Ukubwa huo atajikuta hadi anafikisha miaka 60 anakuwa hajanunua hata Kiwanja cha 30x30 cha kuwaachia urithi watoto wake ππ
Kabisa Mjukuu π€Wazee muheshimiwe