Endelea kuota..!

😂😂👐Endelea kuota..!![]()
Mkenya mwenyewe hata chura hana,
Chura gani tena 🙈🙈mbona LiPo lipoMkenya mwenyewe hata chura hana,
Hawezi kupata uraia wa tanzania kiboya hivyo!
Mfikishie salaam Watz wanataka chura
Nimefungua hii nimeshtuka, hilo jicho lake ni kali sanA
Mwendo wa kulamba asaliKwahiyo tunafanyaje mtumishi?