Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wape na location hii
7-334550629.JPG
 
Kila kona mitego mtajenga kweli😁😁
Ujenge unamjengea nani, hakujenga baba kipindi kariakoo kiwanja 150, nitajenga mimj sasa kiwanja kigamboni milioni 50.
Hakujenga baba kipindi mfuko wa cement sent 30, nitajenga mimi cement mfuko 18k.
Hakuna elfu 10 iliyoandikwa ya kununulia tofali, pesa yake matumizi, ponda mali kufa kwaja.
Ujenge uwe na nyumba umekuwa kobe wewe,
Kobe amiliki nyumba, nawe umiliki nyumba.
Utajengewe nyumba ya mileke ukifa.
Tumia pesa ikuzoee😂🤣🤣🤣
 
Hahaha mkuu ushauri wako ukiufata hutoboi
 
Back
Top Bottom