Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20240621_105606_Instagram Lite.jpg
 
Hii nakubaliana na wewe, kuna mkaka sikuwahi kudhani atakuja kunitongoza...
Huyo hadi tulinuniana sababu tulikuwa marafiki sana kumbe alikuwa na wivu na mimi hataki mwanaume mwingine anitongoze, na alikuwa ananipenda aahahahhaaaa siku ya siku ananiambia ukweli.... nilichekaaa.....😆😆😆😆.
Madam kilichokuchekesha kipi hapo?
Unajua huyo jamaa alikuwa na upendo wa dhati kwako ingawa alichelewa kukujurisha, lakini angalau ujumbe umekufikia.
 
Madam kilichokuchekesha kipi hapo?
Unajua huyo jamaa alikuwa na upendo wa dhati kwako ingawa alichelewa kukujurisha, lakini angalau ujumbe umekufikia.

Sikutarajia wala sikuwa na akili kuwa anataka tuwe na mahusiano ya mapenzi.

Kwa jinsi tulivyokuwa washkaji, niliona kichekesho, nilipomlia kobisi baada ya kufunguka kwangu akakasirika akanichunia nami nikakaza tukanuniana karibu mwaka mzima...😁😁.
 
Back
Top Bottom