Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hapo lazim umwage ubongooo

Huu usemi umenikumbusha baba mmoja wa serikalini idara flani hivi, alikuwa anapenda kuusema mkiwa mnastorisha na akiwa amewaka...😄😄😄

Babu alikuwa mstaarabu sana amenyooka idara zote very humble and reserved.
Udhaifu wake ulikuwa kwenye mbususu japo alikuwa na misimamo yake.

Alipenda kustorisha na mie sababu ya masihara yangu na kuchukulia mambo kwa mrengo chanya 😊.
 
FB_IMG_1718869380523.jpg
 
Hakuomba mbususu kweli
 
Anaweza asiombe direct lakn mimi always huwa najisemea men are perverts. Unaweza ukamuona wa maana/charming/humble/caring/doesn't look like.. etc ila siku ukijipindua tu nayeye shwaaa anajipindua kama upepo[emoji16]
Ila kweli maana ndio tulivyo...we men just love to get naked 🤣🤣🤣🤣
 
Hakuomba mbususu kweli

Aahahahahahaa sijui niseme ukweli au niache tuu ipitee....🤔🤔🤔

Maana mtandao huwa hausahau ukishaweka rekodi hata ukifuta kwenye seva inabaki...

Tuachane na swali lako ila, acha niongelee mambo chanya....

Yule baba alikuwa ananikubali sana kutokana na namna nilivyokuwa naishi pale kazini, ilifika mahala hadi masuala yake binafsi alikuwa ananiambia japo ni mtu msiri sana hapendi mambo yake yajulikane.

Na hata akienda kupata moja moto moja baridi alikuwa hapendi watu wa ofisini wajue maisha yake, ila mara moja moja aliomba tupite mahala tule mbuzi kisha yeye anamalizia na one two one two basi hapo ndo stori zinaanza.

Alikuwa anatongoza mademu nikiwa nae halafu ananiambia kama anafaa au achukue mwingine.

Of course hakuwa mtu wa mahusiano, yeye alikuwa anataka mdada wa siku moja wamalizane halafu basi...

Kiaina flani utapata jibu kama alishaniomba au hapana sababu hadi nahama idara yake tulikuwa washkaji sana.
 
Anaweza asiombe direct lakn mimi always huwa najisemea men are perverts. Unaweza ukamuona wa maana/charming/humble/caring/doesn't look like.. etc ila siku ukijipindua tu nayeye shwaaa anajipindua kama upepo[emoji16]

Hii nakubaliana na wewe, kuna mkaka sikuwahi kudhani atakuja kunitongoza...
Huyo hadi tulinuniana sababu tulikuwa marafiki sana kumbe alikuwa na wivu na mimi hataki mwanaume mwingine anitongoze, na alikuwa ananipenda aahahahhaaaa siku ya siku ananiambia ukweli.... nilichekaaa.....😆😆😆😆.
 
Aahahahahahaa sijui niseme ukweli au niache tuu ipitee....🤔🤔🤔

Maana mtandao huwa hausahau ukishaweka rekodi hata ukifuta kwenye seva inabaki...

Tuachane na swali lako ila, acha niongelee mambo chanya....

Yule baba alikuwa ananikubali sana kutokana na namna nilivyokuwa naishi pale kazini, ilifika mahala hadi masuala yake binafsi alikuwa ananiambia japo ni mtu msiri sana hapendi mambo yake yajulikane.

Na hata akienda kupata moja moto moja baridi alikuwa hapendi watu wa ofisini wajue maisha yake, ila mara moja moja aliomba tupite mahala tule mbuzi kisha yeye anamalizia na one two one two basi hapo ndo stori zinaanza.

Alikuwa anatongoza mademu nikiwa nae halafu ananiambia kama anafaa au achukue mwingine.

Of course hakuwa mtu wa mahusiano, yeye alikuwa anataka mdada wa siku moja wamalizane halafu basi...

Kiaina flani utapata jibu kama alishaniomba au hapana sababu hadi nahama idara yake tulikuwa washkaji sana.
Ok nimekuelewa...to summarize...hamna urafiki wa mwanaume na mwanamke 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii nakubaliana na wewe, kuna mkaka sikuwahi kudhani atakuja kunitongoza...
Huyo hadi tulinuniana sababu tulikuwa marafiki sana kumbe alikuwa na wivu na mimi hataki mwanaume mwingine anitongoze, na alikuwa ananipenda aahahahhaaaa siku ya siku ananiambia ukweli.... nilichekaaa.....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Vijana sikuhizi wanapenda mama zao wadogo, ukicheka nae kidogo hutoamini yatakayomtoka[emoji16].
 
Vijana sikuhizi wanapenda mama zao wadogo, ukicheka nae kidogo hutoamini yatakayomtoka[emoji16].

Aahahahhaaa hili nalo ni tatizo jingine...

Sema huyo mkaka alikuwa mkubwa kwangu sana tuu.

Mi nikajua damu zetu zimeivana kumbe ana yake ya moyoni....😄😄😄

Maana ilikuwa hadi chakula tunakula sahani moja ila mie sikuwa na akili za kuwa na mahusiano nae, yaani hiyo siku ananiambia nilicheka hadi alijiskia vibaya....😆😆😆

I was like.....!!! Are you serious......, seriously...!!!😂😂😂😂😂
 
Ok nimekuelewa...to summarize...hamna urafiki wa mwanaume na mwanamke 🤣🤣🤣🤣🤣

Aahahahaa nakubaliana na wewe kabisa japo kwa mrengo mwingine....

Kama inavyosemekana wanaume wametoka Mars na wanawake Venus (kama nimekosea nirekebishwe)...

Mtizamo wa mwanamke ni kuwa inawezekana kabisa kukawa na urafiki wa kishakaji kati ya mwanaume na mwanamke na mwanamke akawa muaminifu kuhakikisha urafiki unabaki urafiki na ushkaji unadumu daima dumu milele. Na mwanamke anakuwa anamuamini huyu mwanaume mshkaji hata nikivua nguo mbele yake hawezi patwa na hisia za kimapenzi sababu wao ni washkaji.

Kumbe mtizamo wa mwanaume ni kuwa anasubiria nafasi tuu itokee hapohapo shwaaa mkuyenge uingie kwenye punene....

Halafu wanaume huwa hawafikirii, mwanamke na mwanaume wakiwa washkaji na ikatokea wakakulana basi upande wa mwanamke ushkaji unafutika na unaweza shangaa kuanzia hapo mambo yakabadilika na inawezekana kabisa ushkaji na urafiki ukafa mkawa maadui.... na mwanaume asielewe sababu ya ugomvi.

WANAUME.....! mkipata nafasi ya kuwa na ushkaji na mwanamke msiuharibu huo ushkaji kwa kutafuta nafasi ya kushiriki nae ngono, mtaharibu ule urafiki na ushkaji....

MEN, Don't ruin the sweet friendship for sex.

I know it's complicated but the friendship is better than sex. Get sex somewhere else and let's keep on being buddies 😉.

Akili za Kasinde Matata.
 
Back
Top Bottom