Yaani wanawake ni waongo balaaa....huyu aliyekuja na filters kwa kweli amezingua sana......hada huku badoo na tinder tunakutana na mambo ya ajabu
Yaani wanawake ni waongo balaaa....huyu aliyekuja na filters kwa kweli amezingua sana......hada huku badoo na tinder tunakutana na mambo ya ajabu
Tena kijana ndio usijaribu kabisa atakuonjeaha utamu never felt before uanze kuwanyima watoto urithi
Karibu mwanzugi.....mwanzugi kama dar
Jamaa kaona angalau basi alishike tako
Kabisa akijua kingereza huyo ni kipozeo