Aahahahaa nakubaliana na wewe kabisa japo kwa mrengo mwingine....
Kama inavyosemekana wanaume wametoka Mars na wanawake Venus (kama nimekosea nirekebishwe)...
Mtizamo wa mwanamke ni kuwa inawezekana kabisa kukawa na urafiki wa kishakaji kati ya mwanaume na mwanamke na mwanamke akawa muaminifu kuhakikisha urafiki unabaki urafiki na ushkaji unadumu daima dumu milele. Na mwanamke anakuwa anamuamini huyu mwanaume mshkaji hata nikivua nguo mbele yake hawezi patwa na hisia za kimapenzi sababu wao ni washkaji.
Kumbe mtizamo wa mwanaume ni kuwa anasubiria nafasi tuu itokee hapohapo shwaaa mkuyenge uingie kwenye punene....
Halafu wanaume huwa hawafikirii, mwanamke na mwanaume wakiwa washkaji na ikatokea wakakulana basi upande wa mwanamke ushkaji unafutika na unaweza shangaa kuanzia hapo mambo yakabadilika na inawezekana kabisa ushkaji na urafiki ukafa mkawa maadui.... na mwanaume asielewe sababu ya ugomvi.
WANAUME.....! mkipata nafasi ya kuwa na ushkaji na mwanamke msiuharibu huo ushkaji kwa kutafuta nafasi ya kushiriki nae ngono, mtaharibu ule urafiki na ushkaji....
MEN, Don't ruin the sweet friendship for sex.
I know it's complicated but the friendship is better than sex. Get sex somewhere else and let's keep on being buddies 😉.
Akili za Kasinde Matata.