Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kwenye taifa hilo lenye organ donor vipi kasi ya wizi wa viungo vya mwilili ikoje?
 
Kwenye taifa hilo lenye organ donor vipi kasi ya wizi wa viungo vya mwilili ikoje?

Nasikia organ black market ni biashara kubwa na ni biashara za wakubwa maana baadhi ya viungo ni ghali sana. Na ukijiandikisha wewe ni organ donor siku ukipata ajali kama hakuna mtu wa kukuangalia vizuri hata kama ilikuwa upone jamaa wanavuna tu viungo ili wapige mamilioni yao ya dola.

Waiting list ni ndefu japo wenye pesa zao wanaweza kupata shortcut. Ndivyo alivyofanya Steve Jobs kipindi kile akapandikizwa ini chap chap japo alikuwa keshachelewa.
 
Kumbe unaweza kuwa organ donor na bado viungo vyako vitauzwa[emoji849] na pia utajiweka kwenye hatari ya kunyofolewa viungo vyako katika mazingira ya ajali ingawa ungeweza kupona[emoji849][emoji849].
Dunia siyo mahali salama kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…