Kuna mjomba yetu alitushangaza sana alisikia baba mkwe wake kafariki alisikitika sana almanusura akajirushe mtoni nae afe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2949875
Alikuwa na siri gani na huyo babamkwe wake?Kuna mjomba yetu alitushangaza sana alisikia baba mkwe wake kafariki alisikitika sana almanusura akajirushe mtoni nae afe.
Nadhani ni mapenzi tu yaliyopitiliza kwa mke wake hadi anaona kwao na mke ndo kila kitu kwenye maisha yakeAlikuwa na siri gani na huyo babamkwe wake?
I bet she is Hawaiian...
Pregnancy transformation [emoji3061][emoji3061]
View attachment 2948768View attachment 2948769View attachment 2948770View attachment 2948771View attachment 2948772