Ushirikina utahusishwa 🥴🥴Mchimba kaburi huingia mwenyeweView attachment 2949888
Amin 🙏🏻🙏🏻TP MazembeView attachment 2949889
Na wewe Pia..Siku kuu njema View attachment 2950065
Amependeza 🤩🤩
😅😅😅
Hivi huyo Dada hajawahi kuzaa kabla ya kukutana na Mzee Mengi eeh?Pumzika mzeeView attachment 2949881
Inatia Moyo.Asante sana brother, wanapaswa kukutana na comment za namna hii wakina mama na wakina dada kuliko matukano fedheha na kudhalilishwa.
Pasaka ikawe njema kwako kaka mkubwa.
Ukiwa na afya mgogoro kama sisi Wazee lazima umkimbie Kwa bed 😜