Vituko mitandaoni. Tupia chako

Magongo karibu yote huwa ni mapyaaa!

Halafu wanaopata hii miujiza ni wageni hamuwafahamu na baada ya mkutano hamtawaona tena!

Yesu Alikubalika maana alikuwa anaponya watu waliozaliwa pale pale watu wanawafahamu.

View attachment 2946427
Wanalipwa.

Halafu ushers wanawakariri sura ikifika muda wanawachagua wanawaleta mbele

Babu prosperity preaching is an artform
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…