Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
📌📌📌🖐
😀Hii ni jusi juu ya gogo 🤣🤣🤣🤣
Wanawake wanajidhalilisha sana, ndiyo nini sasa hapo
eboo!
Amekomfesi
wanawake wanafikiri kuonyesha mataqwo ndo kupendezaWanawake wanajidhalilisha sana, ndiyo nini sasa hapo
Yaani mwanaume kavaa oversize kabisa.....ona mwanamke kama kamzimu kamefufukawanawake wanafikiri kuonyesha mataqwo ndo kupendeza
cheki mwamba kapigilia zake baibui zake na anawaka tu
afu yeye anajiona bonge la mjanja
Jiulize huyo ng'ombe ameingiaje humo 😀😀😀
mwamba kapiga oversize na anaeleweka kuwa binadamu,Yaani mwanaume kavaa oversize kabisa.....ona mwanamke kama kamzimu kamefufuka
Upuuzi mtu, yaani kuna vijana wapo kwenye media, inasikitisha.........afu yeye anajiona bonge la mjanja
Kama kinyago cha wamakondemwamba kapiga oversize na anaeleweka kuwa binadamu,
angalia sasa huyo mzimu na ki-tight chake
Wanachagua rangi siku hizi 😀😀😀
dah ila huyo dogo anafikirisha sana