Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Uzinzi una tabia ya kutapanya. Chagua pisi yako moja utulie nayo maana kusema kweli hakuna kipya unachokitafuta huko nje mbali na kutapanya pesa zako bure tu na kujitafutia UKIMWI 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

View attachment 2944450
sasa mbona mwanaume amemtumia mwanaume mwnzake
alafu anasema kwaajili ya kwenda kukiwasha........
ni kwa mwanaume mwenzake?
 
sasa mbona mwanaume amemtumia mwanaume mwnzake
alafu anasema kwaajili ya kwenda kukiwasha........
ni kwa mwanaume mwenzake?
Wewe ni me au ke? Tuanzie hapo kwanza....

➡️➡️➡️ This is a bro supporting another bro in his time of need (Bro Code # 32)😁

Screenshot_20240325_203831_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom