Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mungu unajua 🙏🏿
dogo uvumilivu umemshindaView attachment 2940529
Dogo angalia denge menu 😂😂😂
Ni ngumu sana hiyo
Kama huna baba sawa
Dunia simama....
Kabisa mkuuWazazi tuwe waangalifu sana maana maneno yanaumiza mno kuliko hata fimbo na yanaweza kuacha makovu ya kudumu kwa watoto wetu.
Sheikh hutaki washamba jamani 🤣🤣🤣🤣🤣Nilikutana na pisi moja kali sana usukumani, sema tu kalikuwa kashamba.
Lakini mtoto mweusi tii, mrefu, kajazia kidogo, chura ya kueleweka yaani mkali balaa
Daaa, namkumbuka sana dada Eliza
1, 2, ukiniomba msamaha kinachofuata no 7 😅😅😅😅.AINA ZA HASIRA ZA WANAWAKE
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!
4. Mwingine akishikwa na hasira, period ya ghafla ghafla inafuata!
5. Wako wanawake ambao, ole achukie! Atakachokishika usipokimbia anakutandika nacho, majuto baadaye!
6. Mwanamke mwingine akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunja-vunja vyombo. Au saa nyingine kugombeza-gombeza wafanyakazi na watoto! Dizaini hii, huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia na waume zao!
7. Mwanamke mwingine ole akasirike. Mtajuana kitandani panapo majaaliwa! Nakwambia utaungama yote!
8. Kuna ambao wakitibuliwa, hukimbilia kufunga mabegi na kuondoka!
9. Wapo ambao wakikasirika, wanagoma kupika!
10. Wengine wakichukia, wanaamua kwenda kulala kimyaaa!!
11. Wanawake wengine wakikasirika, tumbo linakata, na pengine mpaka kuharisha!
13. Wako ambao wakishikwa na hasira, huingia maombi na kuugua kusikoweza kutamkwa. Uchungu ukiisha, wananawa uso na kwenda sokoni.
14. Yuko ambaye akishikwa na hasira, hucheka saaanaaa.... Hutajua kama amekasirika! Dizaini hii ni hatari sana, maana anaweza kukudhuru kiurahisi.
WEWE UKO KUNDI GANI✋✋AINA ZA HASIRA ZA WANAWAKE

WEWE UKO KUNDI GANI✋✋
Washamba ukiwatoa kwao kuwaleta mjini wanasumbuliwa na mabaharia[emoji1787], hivyo automatikali na wao husumbua.Sheikh hutaki washamba jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]