Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Siri ya kambiHow do they do that?
Siri ya kambiHow do they do that?
Shida yetu ni ile ile. Tunaanzisha hizi program bila maandalizi ya kutosha; na bila kuzingatia dunia inakoelekea. Baadhi ya tahasusi hizi zinashangaza sana maana haziakisi uhalisia wa kule dunia inakojaribu kwenda.