Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

ed97bb8b62a05ae0ba3a596d104cabd8.jpg
 
Hii app ya browser-based ni mtihani. Labda ni kwangu tu lakini picha zikiwekwa moja kwa moja zinakuwa hazionekani vizuri mpaka mtu abonyeze kama anataka ku-download...👇

View attachment 2927650

Ukitaka zionekane vizuri wakati wa kuposti ni lazima u-click Insert 👇

View attachment 2927651

Halafu uchague full image ndiyo upost....

View attachment 2927652

Sijui kama na wengine mna tatizo hili au ni mimi peke yangu...

App ya zamani ilikuwa nzuri mtu unaweka tu picha mara moja badala ya hizi steps zote. Hovyo tu yaani!
Kweli msukuma akierevuka; mnyaki yu mashakani. Ngoja nijaribu sasa
 
Back
Top Bottom