Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,773
- 256,796
😅😅😅😅Hahahaha,
Kabla ya ndoa unapata angalau muda wa kufanya mazoezi.
Baada ya ndoa mambo ni bize bize kumtafutia mkate mtoto wa watu.
Ndiyo hivyo na kitambi lazima kichomoke![]()
😅😅😅😅Hahahaha,
Kabla ya ndoa unapata angalau muda wa kufanya mazoezi.
Baada ya ndoa mambo ni bize bize kumtafutia mkate mtoto wa watu.
Ndiyo hivyo na kitambi lazima kichomoke![]()
Niko busy, Punguza wivu......Kuna kauli nyingi tu.
Kwanza hatosheki na pesa, View attachment 2911777
Vita bado mbichi
Amina Mtumishi 🙏🙏🙏🙏
Urojo 😋😋😋Mchana mwema View attachment 2911025
Huu ndiyo mwisho wa binadamu.