Jamaa aliupambania kweli urais basi tu mfumo haukuwa rafiki kwake...
Mwamba bado sana. Ukijichanganya hapa unakula za uso tu!Chuck Norris.
Miaka 83 siyo habaView attachment 2904261
Alitumia nguvu kubwa mno, lakini wapi.....Jamaa aliupambania kweli urais basi tu mfumo haukuwa rafiki kwake...
Ni kweli, ingawa umri umeenda lakini anaonyesha bado mazoezi yanaendeleaMwamba bado sana. Ukijichanganya hapa unakula za uso tu!
Kama serious dah
Mikosi yake ilianzia kwa Nyerere alipokataa jina lake baada ya kutishwa na utajiri wake tena baada ya kuwa waziri kwa muda mfupi tu. Mkwere alipomruka na kuharibu deal lao la kuachiana urais mambo yalizidi kumwendea mrama. Kujaribu upinzani ilikuwa karata yake ya mwisho. Bahati mbaya wakati huu alikuwa ameshachafuliwa sana na tuhuma za ufisadi ...na bado wakamwibia na kura pia...Alitumia nguvu kubwa mno, lakini wapi.....
Mi nadhani alitakiwa kujishusha sana kwa rafiki yake, ila wapambe walimdanganya eti hela zake zinatosha kumshangaza Mkwere.
Nadhani miaka 5 ya mwisho Mkwere alikuwa anamchezea drafti kimya kimya ili kuharibu njia zake.
Siasa za mwaka 2015 zimetuachia funzo