Kwenye picha ni mchungaji paul enenche huyo ni doctor na ana elimu nzuri tu lakini baada ya kukosa mchongo huko kitaa aka amua kufungua kanisa
Katika moja ya ibada zake huko mjini Nigeria aliwaaminisha waumini wake wote kia mwisho wa matatizo yao umefika.
Aliwaambia kua kaongea na roho matakatifu kawaagiza kila muumini aandike matatizo yake kwenye kalatasi nyeupe na wazikusanye madhabahuni kwake.
Waumini walifanya kama walivyo agizwa tena hizohizo kalatati na karamu walinunu kutoka KWA huyohuyo mchungaji wao wakaandika matatizo yao na kuzikusanya mbele kama wafanyavyo wanafunzi wetu huko mashuleni.
Baada ya hapo mchungaji alizifanya mahombi kwa pamoja zile kalatasi nyeupe Kisha mwisho wa siku akazichoma moto na kuwaambia waumini kua kalatasi hizo zitakapo baki majivu bhasi na matatizo yao yatakua yamekwisha.






Tukio kama hilo alilifanya mwamposa pia pale viwanja vya matalawe songea mjini(ruvuma) tena aliuza kalatati MOJA nyeupe na karamu 1000 alipiga hela kama hana akili nzuri
Na hii ndio sababu najaribu kuwashtua kua mnaibiwa mifumo yote ya kidini ni utapeli kama utapeli mwingine
Ingekua vyema kama wangechoma sadaka(hela) zenu lakini sadaka zinaenda kwenye mabenki yao na kalatasi za shida zenu zinateketezwa mbele ya macho yenu na bila kusomwa na yeyote yule
Hakika nawaonea huruma Sana ndugu zangu nikiwaona wanavyo geuzwa kama zombie mbele ya macamera ya Wachungaji nikikumbuka nilikua mmoja wao huko makanisani unacheka Sana
Nilikesha nikilukaluka huko makanisani kama tumbili Alie hasiwa huku nikilitaja jina la yesu lakini niliambulia 0+

T'challa sut'eh
Sent using
Jamii Forums mobile app