Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,617
- 5,786
una balaa wewe huwa nikiwa nimevurugwa nikipita huku nafrahi hasa nikikuta ulivyovipost
una balaa wewe huwa nikiwa nimevurugwa nikipita huku nafrahi hasa nikikuta ulivyovipost
View attachment 2903106williaam huyu jamaa ni kituko kweli
mtoto halali na hela dp yake
🙏🙏🙏 🤣🤣una balaa wewe huwa nikiwa nimevurugwa nikipita huku nafrahi hasa nikikuta ulivyovipost
Hahahaha[emoji23]
Kumbe ndo walianza kumpiga majini kwa njia hiyo🙄🙄
Jini huyu hapa, amepewa ili awe anaweka kwenye gari yake