Ohh! Mungu awe nanyi rafiki na kuwajalieni wepesi na haswa uponyaji , kwake yeye Mungu hakuna kigumu, uso wa huruma wa mwenyezi Mungu uwe upande wenu.Bado tunapambana anategemea kuondolewa ziwa lingine vipimo vikikamilika.
Mama bwana! Mwenyezi Mungu awalipie mema yote mazuri wakina mama wote.
Ajaliwe kupumzika kwa amani, ameacha kumbukumbu kubwa sana kwenye siasa za Tanzania, wakuvunja rekodi yake hata tokea mapema.
Apumzike kwa amani, sote ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarudi , sifa zote njema ziwe kwake mungu.

"- mbwembwe za Msechu

