Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hhu upuuzi unawapoteza sana waafrica. Sasa kama hatima yako ilishaandika kuna sababu gani ya kuwa na judgement day hiyo siku ya mwisho
Predeterminism ni mada tata sana na pasua kichwa maana inamwondolea binadamu responsibility ya aina yo yote maishani mwake. Kwamba kama uliandikiwa kwenda motoni hata ufanyeje utakwenda tu...likewise mbinguni.

Apologetic mmoja wa kuitwa Ravi Zacharias ndiyo kidogo alitoa hoja ambazo kidogo nilikaribia kuzielewa.
 
Bwana hamna kitu kama hicho. Ukweli ni simple mungu amempa mwanamdamu uhuru wa kichagua mema na baya. Kila jamno lina konsekwensis zake. No life is predetermined. Wee umeambbiwa usigegede hovyo hovyo utakwaa magonjwa unapata ukimwi unaanza lalamika. Huo ujinga wee sali usalivyo mungu ata kusamehe saba mara sabini lani huo ukiwmi utakufa nao na wala hatajihangaisha kuutoa mwilini mwako ata ukienda kunywa mafuta ya upako.
 
1704804972887.jpg
 
Zisije zikawa kama vile vipimo vya covid mpaka mbuzi na mapapai yaliugua corona.
👎👎👎
Zile zilikuwa projekti za watu. Hizi nilishazitumia kupima majamaa yangu matatu na dada zao 7 wote ni wangu. Hizi unapima na ukiwa na shaka zaidi ndiyo unaenda kipimo cha juu zaidi. Usahihi wake ni >90%. Mpaka Maury show alikuwa anazitangaza!
 
Back
Top Bottom