Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mzigo huo umeingia. Anayehitaji tuwasiliane. Kit moja 50K. Usahihi 99% 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

Screenshot_20240107_200311_WhatsApp.jpg
 
Tujikumbushe: Mwaka 2008 Wasabato Masalia walitinga Airport Dar wakitaka kwenda ng'ambo wakaeneze injili bila kuwa na documents yoyote kama visa, passport, tiketi nk [emoji23][emoji23][emoji23]

Nchi hii imepitia mengi sana aisee [emoji23][emoji28][emoji28]View attachment 2861353

Sent using Jamii Forums mobile app
Wangepata lift alafu washushwe north korea au afghanistan kwa wataleban 😂😂😂😂ndio wangejua hayo mambo yanatufit sisi wa chini ya jangwa la sahara.
 
Back
Top Bottom