Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20240102_114831_Instagram Lite.jpg
 
Kwani lazima kuolewa? Why so much pressure? Kha!

Binti yangu nilishamwambia akitaka kuolewa aolewe. Asipotaka napo poa tu. Cha muhimu tu awe na maisha ya furaha na ridhiko kama alivyoamua kuyaishi maisha yake. F*ck society! 🚮

View attachment 2860713
Mwanamke na mwanaume lazima kuolewa na kuoa mbali na hapo ni kusambaziana maukimwi tuu
 
Back
Top Bottom