Aisee kumbe ni mwaka wa thelathini sasa tokea 94! siku hazisimami!
From Juba Southern Sudan acha kamba 😁Mwanza
Tanzania View attachment 2860505
Hafai. Mpaka watu wanasubiri asafiri ndiyo wajiachie....Daktari ana vitisho hatariView attachment 2860245
Mideko bana 😁😁😁Unadhani wanawake tunatishika tunapambana navyo kikubwa ipite 🤣🤣🤣🤣 unaambiwa mwanamke kamili anapambana haijalishi akuta size gani
View attachment 2860103
Mitoto minene hii ndiyo inapigiwa makelele na Profesa Janabi. Halafu hizo kondomu zimebana miguu damu kweli inafika huko miguuni? 😳