Mbona ni weupe tuuu akina sisi weusi ndio waudumu ama au nafasi yetu haiko hapo.
Mjukuu njoo uchukue ghasia yako huku 😁😁😁Safi kumbe mnakubaliana kuwa watu wagegedane tuu haya mambo ya ukimwi ni urongo.👍
Yeye si kaja kuishi milele njiani sisi wapita njia acha tule vinono safari n ndefu na hatujui tunaenda wap 😂😂😂😂😂😂.Hataki tujilie mazaga zaga kama haya😂😂yeye mwenyewe anasema hajawahi kula hata mkate.
Mlo wake ni kachumbali na maji.😂😂