AminHeri ya mwaka mpya 2024,
Marafiki zangu.
Mwenyezi Mungu atujaalie kheri kwenye mwaka huu mpya.
Changamoto zote za mwaka 2023 zipotee kama tulivyoachana na mwaka huo


Unaota bro 🤣🤣🤣🤣
mawardat hii na hilo wowowo lako sii itakuwa balaa humo ndaniAwe na kishundu fulani cha kishikaji halafu avae hii bootyshort huko ndani dah! Sitoki hata kazini siendi!
View attachment 2858422
Poa bby...karibu ghetto upate pilau la mwaka mpyaMambo
Heri nawe brother, nakutakia wewe binafsi na watu wako mema yote mazuri 2024.Heri ya mwaka mpya 2024,
Marafiki zangu.
Mwenyezi Mungu atujaalie kheri kwenye mwaka huu mpya.
Changamoto zote za mwaka 2023 zipotee kama tulivyoachana na mwaka huo
Asante ndugu yangu nitafanya jitihada kwa hilo.Nidhamu ni silaha muhimu.
Kama una elimu ya kutosha juhudi, uaminifu na hauna nidhamu ni kazi bure.
Nidhamu itakuchelewesha