Amina 🙏🙏🙏Heri ya mwaka mpya 2024,
Marafiki zangu.
Mwenyezi Mungu atujaalie kheri kwenye mwaka huu mpya.
Changamoto zote za mwaka 2023 zipotee kama tulivyoachana na mwaka huo
Nidhamu ni silaha muhimu.Uaminifu juhudi na kujitoa niko navyo na pengine vimezidi, ila nidhamu tu ndugu yangu!