[emoji23][emoji23],sina nauliPoa bby...karibu ghetto upate pilau la mwaka mpya
Kha! Yaani tupo 2024 bado mizimga ya nauli inaendelea...kwa kwwli wacha tuendelee na mpenzi revola tuu[emoji23][emoji23],sina nauli
Hao mbona hawakujiajili? Hapo Kuna coplo DE... Kuna officer Sa... kiujumla na wao waache kazi wajiajili kama ni rahisi
Jamaa anatesti mitambo
Bora ubakibsingle usave kibunda
Marinda hamna[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2858397
[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji1550]Ila mshana huenda kweli ni mganga wa majini, uzi ni wa vituko mitandaoni ila 80% ya anavyo post vingi hua naviona kwenye horror movies. Sio vituko kabisa.
Naanza na wewe 2024.