Uaminifu juhudi na kujitoa niko navyo na pengine vimezidi, ila nidhamu tu ndugu yangu!Unataka kumiliki nyumba kama ya Mwenyekiti Mbowe?
Hakuna kisichowezekana chini ya jua, ila unatakiwa uongeze , juhudi, nidhamu, uaminifu na kujitoa
Kungekuwa kweli na dusty Bean ya kutupia hivyo hakika ningetupa vingi mno.
[emoji1787][emoji1787] wewe unaweza ?