MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,600
- 149,992
Hela gani[emoji23], hizo za masimango[emoji23]Wataisoma namba....hamna cha bure hapa sii mlitaka haki sawa haya pambaneni mpate hela zenu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alafu huyu mercy kaongea toka rohoni inaelekea jamaa aliomba tope