Vituko mitandaoni. Tupia chako

Unashangaa tu unaitwa mahakama kuu mwaka fulani nilimnyanyasa Antonnia ushahidi screenshot za miaka ishirini nyuma zimetunzwa...

Faini nusu ya mali zako, wakjitokeza na wengine daah!!
 
Unashangaa tu unaitwa mahakama kuu mwaka fulani nilimnyanyasa Antonnia ushahidi screenshot za miaka ishirini nyuma zimetunzwa...

Faini nusu ya mali zako, wakjitokeza na wengine daah!!
Lengo ni kukupanikisha wewe na kidem chako hakuna kingine🤣🤠🤠🤠🤠!

Bossi hafungwi! Hata wajitokeze miambili huwezi filisika Wewe chama kubwaaa😛

Smart tupia vituko pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 😊
 
😁😁😁😁😁!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…