Signoradellap
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,493
- 149,749
V
Hawa wapuuzi wakipata changamoto kidogo tu kama maradhi unasikia wanaanza kuomba kuchangiwa.....ila saizi wanaongea ujinga ujinga mtupu wakati usikute hata kula yake ya kuunga unga tu