Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Ndio wanaangukia hapo pa dot comAseee
Nilidhani za hivyo zingependelewa na wazoefu.
Ndio wanaangukia hapo pa dot comAseee
Nilidhani za hivyo zingependelewa na wazoefu.
Hao ni watalaam au wahitimu?
Bongo bahati mbayaHao ni watalaam au wahitimu?
Wahitimu wanahitaji uzoefu kutoka kwa watalaam kabla kuruhusiwa kujisimamia.
Women eeh! Aisee wacha vijana wakatae ndoa
Aliagiza hydrogen peroxide 🤣
Nina Kenwood ina ngazi 5🤣🤣