Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
@.com wao ndiyo wanapenda makubwa kubwa?Wanawake wa dot com noumaaa!
I don't care [emoji23]Just saying that you don't care proves that you care!
Yeah wanapenda mambo zahivo!@.com wao ndiyo wanapenda makubwa kubwa?
Aseee[emoji849]Yeah wanapenda mambo zahivo!
Ndio wanaangukia hapo pa dot comAseee[emoji849]
Nilidhani za hivyo zingependelewa na wazoefu.
Hao ni watalaam au wahitimu?
Bongo bahati mbayaHao ni watalaam au wahitimu?
Wahitimu wanahitaji uzoefu kutoka kwa watalaam kabla kuruhusiwa kujisimamia.