Vituko mikoani

Kiongozi Mkuzi yaani umenikumbusha enzi zangu. Nilipomaliza shule nilifanikiwa kupata kazi KMCL. So Kakola, Bugarama na Ilogi ndo zilikuwa anga za kutembelea. Hao kina Amina Kistuli, Juke, Alizadi aka Mamaa Congo wote hao (RIP) nilikuwa nawafahamu na kiwanja chao kikubwa cha kutegea wanaume kilikuwa Rweys aka kibasini. Hapo kulikuwa na mini bus mbovu so mwenye bar akaiboresha kwa kuizeka na manyasi then viti vikaweka mkao wa kutizamana halafu akwaeka meza katikati ya viti. Duuuuh it was amazing.
 
madem ambao ukiwatongoza wanachora chini au wanang'ata kucha kijijini wakutosha huku hakuna gharama
 
Wenye mada yenu mko wapiiiii? Bado mko shambani? Au bado mnawinda ndezi?
TUNAKUJA MKUU. TUNAJITAFAKARI TUJUE PA KUANZIA KUTOA TAMKO.
NAMPITIA MPAREE NA SHIRIMA TUJADILI KWANZA HAPA VILLA TUNAKUJA VUTA SUBIRA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…