robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,140
- 3,333
of course leo umetupatiamo!Bukoba lango la HIV Tanzania... Kuna mto unaitwa katerero.... Gesti za kule magodoro yana nylon ngumu kwa sababu ya huo mchezo... Huku ni lazima kuongea kiingereza kama alama ya usomi
Wanaume wa Dar mnaongea Pijini, '...zenyu hizio...'JF Manda ya Ziwa mbona kimya sana? Kanda ya kati je? Nyanda za juu kusini? Hebu kujeni acheni noma zenyu hizio... Au huko sio mikoani?
tushajaa mamii. tunaaherehekea kwanza kutajwa kwenye kyombo kikubwa kya habariWa mikoani mkuje tucheke na mambo zenu za kukulana kwenye vichaka
Jaman mkuu umenikumbusha zaman kuna gudada likuaga linanichukua kwenda kuchunga nalo mifugo huko vichakani yy alikua yupo form 3 mie ndiio nikiwa darasa la 6 huyo dada alikuaga ananifundisha uhuni jinsi ya kumpiga papuch asa nilikua hata sjabarehe sasa nilikuaga nikimdinya yy anafurahii sana ila mm sikujuaga niini maana ya ile kitu asa ikawa mchezo wake kila weekend lazima anipitie nyumbani tunaenda kuchunga nae na mgegedo juu sema nilikuaga nikipiz mpaka yapite hata masaa mawili ndio viuteute vinatokea
.....Wa mikoani wamelalamika sana kuwa nimewatenga sijaweka post kuwahusu... Basi hii sasa ni zamu yao watiririke kwa raha zao.. Japo huko kunaweza kuwa na vituko tofauti kabisa na Dar.. Kwa mfano kwenye ishu ya mahusiano mikoani wengi humalizana vichakani na maporini.Gesti huko sio nyingi kivile
Mikoani si jambo la ajabu kukuta gesti house ndani choo cha shimo. Kesi za watu kuumwa na wadudu porini wakiwa kwenye malovee ni za kawaida sana
Mikoani watu wakiumwa cha kwanza hawaendi hospital bali kwa waganga wa kienyeji.
Visa vya mikoani vinaweza kupiku dar.. Ni aghalabu kukuta breakdown mikoani... Hiki ndio unaweza kukutana nachoView attachment 684535
Visa vya mikoani vinaweza kuwa kwenye makundi
Tanga... Wanasema mapenzi yalikozaliwa... Hakuna mkoa unaoogopeka kwa mapenzi, ushirikina wa ndele na mvuto kama Tanga... Story za wapenzi majini... Vifuu vunavyoongea ama wanyama.. Story za kubashiwa live nknk... Umeshawahi kusikia ya mwembe basha?
Tanga inaweza kuwa kiwakilishi cha pwani yote mpaka Zenji kwenye mitaa kama mfereji matako , kibanda maiti nk
Ngoma maarufu ya baikoko asili yake Tanga
Kilimanjaro na Arusha... Wazee wa arifu... Pesa ndio kila kitu huko.. Kuna mixer ya wamasai wapare wachaga wambulu nk... Wezi, bahili wachumi wasomi... Huku kuna sensa ya kila mwaka December... Mtu yuko tayari ajinyime mwaka mzima ili akaonyeshe sifa kwao.. Ni wapenda sifa na maendeleo pia... Vipi ushamba?
Moshi kuna mitaa kama kisambo (kisa mbo*..)?
Mikoa mingine karibuni sana.. Hasa ile inayosifika kwa kupenda rangi... Sifa! Ubabe.. Ukatili.. Uchawi... Umbea.. Majungu... Fitina... Nknk
Acha uongo!!Mkoa wa Mara ndio mkoa pekee ambao upendo huonyeshwa kwa vipigo... Ni mkoa pekee ambao karibu kila nyumba haikosi mtuhumiwa wa mauaji na ndio mkoa pekee wenye death rate kubwa kutokana na kuuana... Kule ni MURA VITA NI VITA MURA
Mbona anaonekana kama chalii wa Sakina
Ah sio Mshana hapa ni kanisani kwa Kakobe huons kilemba,hapo anasoma litujia kwa kunena ndio maana kageuza ,neono la Mungu ukilisoma kwa kunena hata ukigeuza kitabu lenyewe linatililika tu
Nimeishi duniani, member wa kwanza kanikosoa ki GT lakini wewe naona unanikosoa ki GS.. unajua ni kwanini? HATUFANANIAcha uongo!!
Mkoa wa Mara ndio mkoa wa makabila mengi sn Tz. Ww umeishi wapi hadi ufikie kutoa hii Generalization ya Kijinga hivi?
Mm najua message sent & delivered!!Nimeishi duniani, member wa kwanza kanikosoa ki GT lakini wewe naona unanikosoa ki GS.. unajua ni kwanini? HATUFANANI