Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
KabisaItel?
KabisaItel?
Hapa kwa kisukuma tunasema. Anayonjoleka
wanaume kazi tunayo
Hii meza sjui ni ya kusajilia laini,kaja kuiweka ndan,nmecheka dah!



Kagusa sehemu anayoipenda zaid kwenye mwili wa jamaa ake.

Hahahaaaaaa ipo nchi gani hii?
AngolaHahahaaaaaa ipo nchi gani hii?
Huyu mzee ni kichwa, sema tu ni king'ang'anizi.
Naenda T city
Kama ni hivyo hata tabora ni T city, sasa watu watajua unakwenda city gani?Naenda T city
