Vituko duniani

Vituko duniani

b70dbd18160d2b4a82e3bf8bfba15e77.jpg
Manyonyo yanafaa sana kwa kuyafanya mto, yaani ukilalia hapo, huwezi kuamka shingo inauma
 
hiyo itakua maeneo ya njombe au makambako
Then AC nyingi siku zinatumika siku hizi ni split-type, zamani ilikuwa ukihitaji joto unachange tu kwenye AC umapata joto. Lakini hizi split-type ni kutoa baridi tu, so jamaa akaona bora atumie akili ya kuzaliwa, heater haziingiza ndani ili apate joto. Sipati picha hizo kelele zake
 
Mmasai na changu :
Mmasai. Nani nalipa hela ya sumba ?
Changu : wewe !!
Mmasai nani nalipa wewe ?
Changu : wewe !!
Mmasai : sasa kwa nini wewe nayumbisa yumbisa hiyo kiwino ? !!
 
Back
Top Bottom