Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,090
Mshana huyu jamaa ana kosa gani hadi akachukue barua ya kufukuzwa kazi?
Mshana huyu jamaa ana kosa gani hadi akachukue barua ya kufukuzwa kazi?
Hii inaitwa nyanyua nikunyanyue bando
VanuatuNi wa nchi gan hawa duu
huyu kachomwa na wenzake tuNa msichunguzane
Halafu kakamatwa na mzigo
Patamu hapo
Hala gari imeandikwa "Msichunguzane"huyu kachomwa na wenzake tu
Inawezekanahuyu kachomwa na wenzake tu
Iyo zaga mbona cyo OG au mm naona mawenge