Nikupigia chapuo baada ya bwana hakimi kumaliza tenure yake kama rais wa wanaume wanaojitambua...you shuld be next inline to ascend to position of presidencyMwanamke akiwa kwenye peak yake (miaka 17-25) huwa ana-prefer kuwa na badboy, kwa sababu badboy ndie mwenye character ya kuweza ku-twist ile chaotic nature ya mwanamke.
Mwanamke uyo uyo akiingia kwenye declining stage(miaka 28+) anataka rescuer man, a man to save her from her messy.
Hakuna kipindi cha maisha ambacho mwanamke anatafuta mapenzi ya dhati, sasa wewe kama mwanaume nini ufanye?
If you are broke don't pressure yourself to build a commited relationship, remember basic things like dates, hangout, gifts require money. Insteady put a focus on building your value.
Utakapojipata(wanaume wengi wanafika hatua hii wakiwa 30's) watumie wanawake kama chombo cha starehe tu, usimsomeshe mwanamke, uaimfungulie biashara, usimpangishie au kumjengea nyumba, kwa kifupi usibebe majukumu ya baba ake
mpaka utakapoona sasa ni wakati wa kutulia na kuanzisha familia then go for a virginity, feminine and young woman(19-22). Infact hata huyu anaweza kufuata security but atleast she is worthy your sacrifices.
Mbona km umemsingizia shemeji yangu 😹😹
Kila mtu atateseka kwa wakati wake 😂Yaani kutoka wanawake kuwaendea wanaume kwa waganga na kuwafinyia… sasa ni wanaume wanaomba mbinu wao hii kali 😹😹😹
Very strange 😹😹Kila mtu atateseka kwa wakati wake 😂
Kama huna hela hakuna mapenzi mwanamke hawezi kula na kuvaa u handsome wakoWakuu tupeane maujanja hivi inatakiwa ufanye vitu gani au umfanyie vitu gani mwanamke wako ili akupende sana?
Wanawake hivi mnataka vitu gani mwanaume wako akufanyie ili umpende sana?
hahaMbona km umemsingizia shemeji yangu 😹😹
Na wewe kagongwe 😀😀😀 ,aiseee ni hatari sana yaani kwa week hii tu nimeona mauaji ya wanawake watano.🤣🤣🤣 Ulisema ukimwambia umetoka kugongwa anakujibuje?
EeMjali, mhudumie, msikilize na mkojo![]()
😀😀😀😀 Mr. President, right? You know most ot men doesn't understand the fact that the rules of dating have changed. What worked for men 20, 30 years ago does not work today.Nikupigia chapuo baada ya bwana hakimi kumaliza tenure yake kama rais wa wanaume wanaojitambua...you shuld be next inline to ascend to position of presidency
Noma sana yani🤣Daaah, nimecheka sana mkuu.
🤣🤣🤣🤣🤭Na wewe kagongwe 😀😀😀 ,aiseee ni hatari sana yaani kwa week hii tu nimeona mauaji ya wanawake watano.
Aisee hiki kimombo kinateleza tuu mwanawane. Sawa mzee ukipata uprezdah usisahau kunipa pande la ukatubu mkuu😀😀😀😀 Mr. President, right? You know most ot men doesn't understand the fact that the rules of dating have changed. What worked for men 20, 30 years ago does not work today.
Women have more options than ever, social media has inflated their egos, and if you’re still playing by the old script of being nice and treating her like a queen, you’re already losing.
Most of men strugle to attract women because they’ve been lied to about what actually works. Attraction is not about being the best guy. It's about understanding the game. If You Don’t Learn the Rules, You Will Always Be Played
Women are not as complicated as most of men think, but they are strategic. They test, they manipulate, they seek the strongest man who triggers their emotions.
If you don’t understand how female psychology works, how attraction truly functions, and how to position yourself as the prize, you will always be at a disadvantage.
The modern dating market is ruthless, women have been trained to look for the most exciting, confident, high-status man while stringing along weak men for validation.