Vitu vya kufanya mwanamke akupende

Vitu vya kufanya mwanamke akupende

Hehehe umeandia au umeandikiwa...
Weka picha kwa faida ya members...
20250317_180348.jpg
 
Wanawake wanapenda. "PESA"

Tukiweka "PESA" pembeni, kitu kingine wanachopenda wanawake ni hiyo "PESA" uliyoiweka pembeni...!

"PESA" zinapita, gari na nyumba zinapita sasa zinapopita hakikisha zinapitia kwako..!

"PESA" sio kila kitu, lakini ni kitu!

Hivyo ukipenda, penda wa size yako, wa level yako ki~fedha!

Adios Amigo!
 
Wakuu tupeane maujanja hivi inatakiwa ufanye vitu gani au umfanyie vitu gani mwanamke wako ili akupende sana?

Wanawake hivi mnataka vitu gani mwanaume wako akufanyie ili umpende sana?
Ukiona mwanaume yeyote, anamwelewa mwanamke kupitiliza jua anakaribia kufa.
 
Kwanza unatakiwa ujue mwanamke anaendeshwa na hisia. Kila anachokifanya kwako ukahisi kizuri basi ujue ni temporary tu. Ni viumbe wataalam kupoteza maboya.
 
Rasmi nahamia kataa ndoa wanawake sio watu wakuwaamini ni viumbe vijinga sana shuka na stori

Leo nikasema nimtafute ex wangu anawatoto wawili na kaolewa lakini kuumuliza au kuomba namba ya classmate wetu secondary kanipa namba mara anaanza kusema ooh sikuwahi mpenda na malalamiko kibao kuwa kwasasa yupo tayar tupige Tena gemu hata mbili za kirafiki kanimiss nikamwambia gesti utalipa ww mi Sina kazi na Hela kwahyo tutafanya mwez wa Ramadhani na kwaresma ukiisha kapanga Hadi tarehe nikamchenyete.

Sasa kila nikiwaza huyu demu anavofanya basi na mke wangu nae hvohvo Kuna watu wanapga bila kutoa hela wala kutumia nguvu Hawa Wanawake Hawa mungu anawaona watakua Kuni Hawa motoni
 
Mwanamke akiwa kwenye peak yake (miaka 17-25) huwa ana-prefer kuwa na badboy, kwa sababu badboy ndie mwenye character ya kuweza ku-twist ile chaotic nature ya mwanamke.

Mwanamke uyo uyo akiingia kwenye declining stage(miaka 28+) anataka rescuer man, a man to save her from her messy.

Hakuna kipindi cha maisha ambacho mwanamke anatafuta mapenzi ya dhati, sasa wewe kama mwanaume nini ufanye?

If you are broke don't pressure yourself to build a commited relationship, remember basic things like dates, hangout, gifts require money. Insteady put a focus on building your value.

Utakapojipata(wanaume wengi wanafika hatua hii wakiwa 30's) watumie wanawake kama chombo cha starehe tu, usimsomeshe mwanamke, uaimfungulie biashara, usimpangishie au kumjengea nyumba, kwa kifupi usibebe majukumu ya baba ake

mpaka utakapoona sasa ni wakati wa kutulia na kuanzisha familia then go for a virginity, feminine and young woman(19-22). Infact hata huyu anaweza kufuata security but atleast she is worthy your sacrifices.
 
Back
Top Bottom