Vitu vya kufanya mwanamke akupende

Vitu vya kufanya mwanamke akupende

Mada kama hizi zishapitwa na wakati kwa kpnd hichi. Cha 2025.
Unampenda mwanamke iki iweje!
Mpende Mungu
 

Mwanamke haitakiwi akupende ,fanya mambo ili akuheshimu ,means akikuheshimu atakusikiliza hapo ndiyo wewe utaona unapendwa.....Jitahidi utafute pesa kwanza ,mwanamke hawezi muheshimu Dume suluari.
 
Back
Top Bottom