Vitu vitano ambavyo hautokuja kuvifanya tena

Vitu vitano ambavyo hautokuja kuvifanya tena

osmaney

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2017
Posts
1,042
Reaction score
1,000
Habari wanaJF

Nisizunguke sana, title inajieleza kabisa


Ukianza na mimi ni kama ifuatavyo;

1. Sitokuja kumwamini mtu tena

2. Take life too serious

3. Kujifananisha na wengine

4. Never judge a book by it's cover

5. Kufanya mapenzi kabla sijaoa😂😂

6.... hebu ongezea na zako hapo👇👇👇👇
 
Vitu hutakuja kuvifanya?
2?
4?
Mimi vitu sitakuja kuvifanya tena japo nilivifanya ni,
Sivioni.
sawa mkuu nimejaribu kukuelewa hivyo hvyo tu
 
Back
Top Bottom