PostGE2025 Vitu viliyokufa baada ya MO29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kp alikuwa mbele ya muda
 
Attachments

  • 20251111_193100.jpg
    20251111_193100.jpg
    123 KB · Views: 11
GT
Baadhi ya mambo yaliyokufa

1. Vyombo vya habari Tanzania

2. Machawa na uchawa

3. Watu wasiojulikana.

4. Simba na yanga

5. Jina la Lake oil (Loading)
6. Viherehere vya Gen-Z wa Kenya, kumbe walikuwa hawaijui vizuri Tanzania mamamamaee; walilipwa visent na wake wa wabelgiji eti waje kupindua serikali.........walichokikuta hawana hamu ya hata kuisikia tena Tanzania mamamamaae.
 
Hadi leo sijaona ushahidi wa hiki. Ila kama mlitumia mbwinu ya kumpa mtz jina baya ili mfanye yenu sawa.

Ushahidi kila sehemu maiti ni za Watanzania. Waliopelekwa mahakamani ni watanzania.

Huko Kenya hatujasikia hata sisimizi akipiga kelele kuwa vijana wao wamepotea.

Endelea kujifurahisha tu.
 
Ukitaka kuua mbwa mpe jina baya...
 
Hadi leo sijaona ushahidi wa hiki. Ila kama mlitumia mbwinu ya kumpa mtz jina baya ili mfanye yenu sawa.

Ushahidi kila sehemu maiti ni za Watanzania. Waliopelekwa mahakamani ni watanzania.

Huko Kenya hatujasikia hata sisimizi akipiga kelele kuwa vijana wao wamepotea.

Endelea kujifurahisha tu.
Huna akili, hawawezi kusema lolote sababu ni aibu ya nchi yao lakini ukweli ni kwamba walikuwepo wengi tu
 
Back
Top Bottom