PostGE2025 Vitu viliyokufa baada ya MO29

PostGE2025 Vitu viliyokufa baada ya MO29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huku niliko sioni bendera za chama zikipepea mtaani hasa kwa viongozi wa serikal za mitaa.

Baskeli zimepotea
Pikipiki zimepotea. Zimepigwa camouflage
 
Kweli leo wakati nasikiliza DW saa saba mchana ilipofika habari ya Tanzania kuhusu mauaji na tamko la UN kuhusu mauaji yaliyofanyika ghafla wakaondoa ikaanza kupigwa taarabu..
 
Aisee Media za Kibongo zinatia Hasira sanaa. Sema anyway let's keep it for the other day.
Kweli leo wakati nasikiliza DW saa saba mchana ilipofika habari ya Tanzania kuhusu mauaji na tamko la UN kuhusu mauaji yaliyofanyika ghafla wakaondoa ikaanza kupigwa taarabu..
 
....Hakutakuwa na nywi nywi wala nywi nywi nywiii...

Haya kiko wapi leo.
 
Machawa muda wao umeisha walitumika km toilet paper..!!
 
Back
Top Bottom