Maestro 87
Member
- Dec 12, 2016
- 51
- 35
Friji 170
Kitanda tupu bila godoro nataka.pesa ngapi?Yaahh..!!!kitanda kipo pamoja na godoro tano kwa sita bei 100000 Tsh.
Na Mimi nataka godoro pekee yake bei gani?Kitanda tupu bila godoro nataka.pesa ngapi?
Sh ngap
Tutoe elf 50 kwa 50 tukachukue godoro na kitanda mimi kitanda wewe godoro maana kasema ni 100kNa Mimi nataka godoro pekee yake bei gani?
Pcha ya friji ndan pga uoneshe na limetumia mda gan
Huko wapi tukutane kwa jamaa tuchukue mzigo now.Tutoe elf 50 kwa 50 tukachukue godoro na kitanda mimi kitanda wewe godoro maana kasema ni 100k
Acha tu kiongozibaada ya kusoma tangazo hili, machozi yamenilenga mkuu.
Tutafika tu ingawa tutachelewa!
Umenifanya nicheke kama mazuri vileHuko wapi tukutane kwa jamaa tuchukue mzigo now.
Maana nikiwa na kahela huwa situliii.



♂️
♂️
♂️
♂️